Mkurugkenzi wa Swahili Radio Bwana Dickson Mkama (DMK) akiwa hewani wakati wa majaribio
Mkurugenzi wa Swahili Radio Bwana Alex Kassuwi (King) akiwa hewani akifanya majaribio
Bwana DMK akiendelea na majaribio ya kipindi chake cha Entertainment
Alex Kassuwi akiweka mitambo sawa wakati wa majaribio
DMK akikamilisha taratibu za mwisho mwisho kuingia hewani
Alex akifurahia baada ya mitambo kuonyesha mafanikio katika majaribio
Wakurugenzi wa Swahili Radio Bwana Alex na DMK wakiendesha kipindi cha majaribio hewani
SWAHILI RADIO
Ni Radio iliyoanzishwa Jijini Washington DC USA na Kampuni ya "MMK MEDIA GROUP" ambao wanamiliki Swahili Radio Online,Swahili TV Online,SwahiliTV Blog, Swahili Magazine USA-AFRICA,na The Bridge Show inayoonyeshwa kwenye channel za DCTV.
Radio hii pamoja na TV online ziko kwenye majaribio kwa sasa na zitaanza kuwa hewani kwa watu wote kusikiliza na kuangalia punde muda wa majaribio utakapomalizika.Wamiliki wa MMK MEDIA GROUP, Alex Kassuwi, Augustino Malinda na Dickson Mkama DMK,wote kwa pamoja wanafurahishwa na majaribio yanavyoendelea vizuri na kwa kingereza wanasema THEY CAN'T WAIT TO BRING TO YOU WHAT YOU HAVE BEEN WAITING FOR.
"PROGRAMS ZA RADIO KWA KUANZIA"
*BIASHARA NA UCHUMI*
* BURUDANI NA MICHEZO DUNIANI*
*MAPENZI NA MAISHA-NA AJ UBAO*
*MAISHA UGHAIBUNI*
*HABARI ZA DUNIA*
*PAMBAZUKA *
*MTAANI KULIKONI*
*THE WEEKEND SPECIAL*
*YALIYOJIRI WIKI HII*
*MUSTAKABARI*

No comments:
Post a Comment