

.jpg)

Ndugu
na Jamaa wakiwa kwenye harakati za kumwamisha Mgonjwa wao kutoka
hospitali ya Taifa ya muhimbili kufwatia mgomo Mkubwa wa Madaktari

Chumba Cha Wagonjwa kikiwa kitupu

Muonekano wa Wodi Mbalimbali

Chumba cha Wagonjwa kikiwa kitupu

Vitanda
vitupu vikiwa Havina wagonjwa kwenye hospitali ya taifa ya muhimbili
Kufwatia Mgomo wa Madaktari unaoendelea nchini hivi sasa

Viti vya kubebea Wagonjwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili vikiwa vitupu kabisa

Koridoro za hospitali ya Taifa ya Muhimbili Zikiwa Tupu Leo hii kufwatia Mgomo wa Madaktari Nchini

Sehemu ya Mapokezi ya Hospitali ya taifa ya muhimbili ikiwa tupu

Bi
Annanilea Nkya(Kulia)na kijo Bisimba wa pili Kushoto wakiwa Hospitali
ya Taifa ya Muhimbli jijini Dar es Salaam Kujionea hali halisi na
athari za Mgomo wa Madakatari unaondelea Nchini.Picha na Habari Legal and Human Rights Centre,
kwa taarifa iliyopo sasa ni zaidi ya wagonjwa 35 hufa kwa siku toka mgomo uanze kulingana na idadi ya awali ya watu 15 kwa siku
No comments:
Post a Comment