Mashindano
ya Kilimanjario Marathon 2012 yamemalizika hivi punde katika mji wa
Moshi ambapo wakimbiaji kutoka nchini Kenya wametia fora katika
mashindano haya yaliotimiza miaka kumi kwa kunyakua medali zote za
Dhahabu, fedha na shaba huku watanzania wakiambulia moja ya shaba.
Pichani ni kundi la wakimbiaji wa Kenya Kilometa 42 wanawake, wakikimbia kwa pamoja na hatimaye kufanikiwa kushinda mbio hizo.
Mbio za walemavu za Gapco nazo zimetimua vumbi
No comments:
Post a Comment