Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Monday, February 20, 2012

WEMA SEPETU AFANYA KUFURU DUBAI...AMNG'ONG'A DIAMOND..!!


 Wema Sepetu akiwa mitaa ya Dubai night flani hivi.

MazagaZaga picha inaongea,mtu mzima Diamond hakuweza hivi?..kipele kimepata mkunaji.

Mrembo na muigizaji shupavu Wema Sepetu amefanya kufuru baada kwenda Dubai kufanya shopping ya madude ya kutupia mwilini,huyo wa ukweli amefikia hoteli yenye hadhi ya nyota tano kama haitoshi imekuwa kama kumzodoa kimtindo aliekuwa mpenzi wake wa zamani Diamond kuwa anaweza kujimudu kwa vitu kama hivyo.

No comments: