Mkurugenzi
mtendaji kituo cha utamaduni wa jamhuri ya kiislam Bw. Mortazar Sabour
akiongea na waandishi wa habari kwenye maadhimisho miaka 33 ya
mapinduzi ya kiislam ya yaliyotokea mwaka 1979 chini ya utawala wa
Imamu Ayatolla Khomein yaliofanyika juzi katika kituo cha utamaduni cha
Iran jijini Dar es salaam.



No comments:
Post a Comment