Mwanamziki SHAA anaetamba na kibao cha Lover lover na Promise, Amefiwa na mama mzazi jana.
Mungu amtie Nguvu katika kipindi hiki kigumu cha Msiba wa mama yake mzazi.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
Unique entertainment blog tunakupa pole na tunakupenda sana.
No comments:
Post a Comment