BIA ZA BURE ZAMTOKEA PUANI

katika  pita pita zangu za Mtaa kwa Mtaa,leo niliibukia mitaa ya Tandale Uzuri  na kukutan na kisa hiki ambacho mwanadada huyo aliekaa chini alijikuta  akitembezewa kichapo na jamaa mmoja hivi ambaye aliingia mitini.kisa cha  kutembezewa kichapo dada huyu,inasemekana ni kwamba alikunywa bia za  mshkaji huyo alieingia mitini na kukataa kuondoka nae.hapo ndipo jamaa  alipatwa na hasira na kuanza kumuangushia kichapo hicho hadi wasamalia  wema walipoanza kukusanyika na kumfanya msela huyo kuingia mitini.hiki  ndicho kisa cha Uswahilini leo.
 
 
No comments:
Post a Comment