KUIONA ATLETICO PARANAENSE YA BRAZIL TSH.200,000/= UWANJA WA TAIFA
KIINGILIO  cha juu cha mechi baina ya Atletico Paranaense ya Brazil kimepangwa  kuwa sh.200, kwa jukwaa la VIP A, huku VIP B watalipa sh.100,000, VIP C  sh.50,000 na watakaokaa viti vya rangi ya chungwa watalipa sh. 10,000.
Timu  hiyo kesho itacheza na Yanga katika uwanja wa Taifa jijini Dar es  Salaam kabla ya kucheza na Simba jumatano katika uwanja huo.Mechi zote  zitapigwa saa kumi na moja jioni.
 
 
No comments:
Post a Comment