MZEE MANDELA AVUMISHIWA KIFO...!
 Msemaji  wa mfuko wa Nelson Mandela Sello Hatang amekanusha taarifa hizo siku ya  jumamosi na kusema Mzee Mandela mwenye miaka 92 alikuwa katika  mapumziko na mkewe Graca Machel na kwamba walikokwenda na wanachokifanya  ni siri yao wawili na ni haki ya faragha kwa kila mwanadamu nayo  inapaswa kuheshimiwa.
Msemaji  wa mfuko wa Nelson Mandela Sello Hatang amekanusha taarifa hizo siku ya  jumamosi na kusema Mzee Mandela mwenye miaka 92 alikuwa katika  mapumziko na mkewe Graca Machel na kwamba walikokwenda na wanachokifanya  ni siri yao wawili na ni haki ya faragha kwa kila mwanadamu nayo  inapaswa kuheshimiwa.Hata hivyo kuna habari kuwa hali ya mzee huyo imezorota mno na wengine wamekuwa wakiwasiliana wakisema kuwa amekufa jambo ambalo limekanushwa vikali na watu wake wa karibu.
Hata hiyo vyanzo vya uhakika vilivyonukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari nchini humo vimeonyesha kuanza kukubaliana na uvumi huo.
 
 
No comments:
Post a Comment