MCHEZO WA BAO WAPATA VIONGOZI
Rais wa shirikisho la mchezo wa bao katikati MONDAY LIKWEPA pamoja na wajumbe  \
Baada  ya kutokea kwa simtofahamu katika chama cha mchezo wa bao kutoka na  kutokuwa na viongozi wanotambulika na Baraza la michezo nchini Taifa  limeteuliwa viongozi wapya wa kuendesha mchezo huo.
Akijitambulisha  mbele ya waandishi wa habari Mwenyekiti mpya wa shirikisho la mchezo wa  boa TANZANIA (SHIMBATA) MONDAY LIKWEPA amesema kuwa wafurahi kuundwa  kwa shirikihso hilo ambalo mchakato wake umechukua muda mrefu mpaka  kukamilika.
Likwepa amesema kuwa shirikihso hilo limesajiliwa  na baraza la mcihezo nchini BMT  ambapo amesema wanatarajia  kuanza michezo ya ndani na nje ya nchi.
 
 
No comments:
Post a Comment