
   Rais wa bendi ya B- Band Mzee Zahir Ally Zorro (kushoto) akiwa katulia  kiaina huku shoo ikiendelea kusongesha huko jukwaani. Ni jana katika  ukumbi wa Tai Village maeneo ya Oyster-bay ambapo Banana Zorro alifanya  mambo makubwa na The B-Band

  Msanii Khalid Mohammed TID nayeye alikuwepo kumpa sapoti Banana usiku  wa jana.Hapa chini TID yupo na rafiki yake wa muda mrefu, mara kwa mara  huwa nakutana nao usiku , jana TID hakunywa pombe kabisaa! Ulikuwa ni  mwendo wa soda aina ya Fanta!
 
  
 
 Hapa chini ni galacha Mafumu Bilali Bombenga . Huyu ni mwanamuziki mkongwe.
 
No comments:
Post a Comment