MADA  MAUGO ASEMA HAKUPIGWA NA CHEKA BALI MAJAJI WAMETOA USHINDI WA BURE KWA  CHEKA
 Baada ya kupokea kichapo  kutoka kwa CHEKA ,MADA MAUGO asema hajapigwa kwani yeye alionyesha  mchezo nzuri na haelewi kwanini majaji wamempa ushindi CHEKA wakati  hakumpiga.
Amesema yeye yupo tayari hata sasa kurudiana na CHEKA kwani bado hajapigwa na hamuogopi CHEKA.
Amesema yeye yupo tayari hata sasa kurudiana na CHEKA kwani bado hajapigwa na hamuogopi CHEKA.
jAMANI MASHINDANO YA KITANZANIA HAYAISHI MALALAMIKO YAMKINI HII NI DESTURI YETU WATANZANIA JE UNAKUMBUKA HATA MASHINDANO YA BAISKELI WATU WALILAUMU KUCHAKACHULIWA ITAKUWA MITINDO MASHINDANO YANAYOHUSU WASICHANA PEKEE AMBAPO MTU ANAWEZA KUTUNGA CHOCHOTE NA DHANA POTOFU ZA WATANZANIA WALIO WENGI WANADHANI KILA ANACHOLALAMIKA MWANAMKE NI KWELI  NA SAHIHI HATA KAMA HAWANA USHAIDI..HATA KAMA WANATUNGA UWONGO....WADAU MPOOO.....!!!                                  
 
 
No comments:
Post a Comment