KIKWETE AzINDUA SHULE YA MSINGI WILAYANI BAGAMOYO
 RAIS  Jakaya Kikwete akisalimiana na wanafunzi wa darasa la saba katika Shule  ya Msingi Msoga, ambayo imejengwa kwa msaada wa serekali ya China.  Kikwete alikagua madarasa baada ya kukabidhiwa shule hiyo na Kaibmu  Balozi wa China nchini,Fu Jijun, katika kijiji cha Msoga, Wilayani  Bagamoyo, Mkoani Pwani jana

No comments:
Post a Comment