BONDA ARTS PRODUCTION YAZINDULIWA DAR 

  Kutoka (kushoto) msanii wa muziki wa kizazi kipya Jaffaray, Mkurugenzi  wa kampuni ya Bonta Arts Production, Davis Patrick, Producer wa filam  katika kampuni hiyo, David Eric, wakionyesha nembo za kampuni hiyo  katika Tisheti ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa kampuni hiyo ya kuandaa  Filam iliyozinduliwa jijini Dar es Salaam
 
No comments:
Post a Comment