Programa
Mwandamizi wa Kompyuta toka Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Bw.
Ulrick Mkenda (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo
pichani) wakati wa Uzinduzi wa huduma ya kulipia Ada za mitihani kupitia
mashine za Selcom Gaming LTD, Dar es salaam jana, ziitwazo selcom
paypoints. kwa wahitimu wa kujitegemea kidato cha nne CSEE na Maarifa QT
kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni hiyo Bw. Juma Mgori.
Pages
BRAND NEW MUSIC
metty magese
Listen & Download
http://mdundo.com/a/32626
Tuesday, January 10, 2012
BALAZA LA MITIHANI LA TANZANIA YAZINDUA HUDUMA YA KULIPIA ADA KWA MASHINE ZA SELCOM
Programa
Mwandamizi wa Kompyuta toka Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Bw.
Ulrick Mkenda (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo
pichani) wakati wa Uzinduzi wa huduma ya kulipia Ada za mitihani kupitia
mashine za Selcom Gaming LTD, Dar es salaam jana, ziitwazo selcom
paypoints. kwa wahitimu wa kujitegemea kidato cha nne CSEE na Maarifa QT
kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni hiyo Bw. Juma Mgori.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment