Msanni na Producer toka Nigeria,Joshua Kalu Okwun aka J. Martins
amefunga ndoa na longtime girlfriend,Nnezi Mbila jana January
2,2012

J. Martins alifanya sherehe ya kimila pande za Ohafia,Abia State ambayo ilihudhuriwa na wanafamilia,marafiki wa karibu
J.
Martins ni mmoja kati ya majembe yaliyowaweka wasanii P-Square kwenye
ramani ya muziki duniani coz amefanya production asilimia kubwa ya hit
songs zao na mpaka yeye mwenyewe kuamua kutoka kivyave kwa hits kama
Oyoyo,Iva,Jukpa nk
No comments:
Post a Comment