Mbunifu
wa mavazi mama Asia Idarous Khamsin wa Fabak Fashion ambaye pia ni
muandaaji wa onyesho la Lady and Red 'Reloaded ' 2012 akiwa katika
mkutano na waandishi wa habari kuzungumzia onyesho linalotarajiwa
kufanyika Februari 10, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es
Salaam.
Mbunifu
wa mavazi mama Asia Idarous Khamsin (wa pili kulia) wa Fabak Fashion
ambaye pia ni muandaaji wa onyesho la Lady and Red 'Reloaded ' 2012
akiwa katika mkutano na waandishi wa habari kuzungumzia onyesho
linalotarajiwa kufanyika Februari 10, 2011 katika hoteli ya Serena
jijini Dar es Salaam. Kulia ni Bw. Mauldi Mlawa ambaye ni Katibu wa
Kikundi cha Kikale Youth Care kilichipo wilayani Rufiji na Meneja wa
kinywaji cha Redds Original, Victoria Kimaro ambao ni wadhamini wakuu
wa onyesho hilo. Onyesho hilo linatarajiwa kuwakutanisha wabunifu
wapatao 30 ambao wataonyesha mavazi yao
No comments:
Post a Comment