Pages

BRAND NEW MUSIC

metty magese

metty magese

Listen & Download

http://mdundo.com/a/32626

Thursday, January 5, 2012

VIJANA WAENDELEA NA MAZOEZI YA MASUMBWI KWA AJILI YA KUJENGA AFYA ZAO

Baadhi ya mabondia wakifanya mazoezi katika klabu ya Amana CCM Dar es salaam jana
Mabondia wa timu ya Amana Ilala, Dar es salaam wakifanya mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo jana kushoto ni Chalo Issa na Omari Bai
Mabondia wakifanya mzoezi ya kutupa masumbwi hewani
Mabondia wakielekuzana jinsi ya kupiga ngumi wakati wa mazoezi
ngumi mawe masumbwi boxing CHEMBE KIDEVU LAZIMA AKAE MTU HAPOOOO..

No comments: