Mume
wa Artist Mariah Carey,Artist Nick Cannon amekimbizwa hospitali
pande za Aspen baada ya kupata matatizo ya figo
Nick
Cannon alianza kupata matatizo wakati wa pambano la boxing la
Amir Khan wiki chache zilizopita na Mariah Carey alitupia
kwenye mtandao wa twitter kuwataka fans wake
wamuombee husband wake apone haraka na kwa sasa
inasemekana kuwa anaendelea poa tu!
No comments:
Post a Comment