 Eneo la magu basi la abiria la 'Bunda Express' lenye 
namba za usajili T 782 BKZ likitokea Musoma kuelekea Mwanza muda wa saa 
mbili asubuhi jana lilipata ajali mbaya, mazingira yanaonesha kuwa idadi
 kubwa ya watu wamekutwa na umauti na wengine kuwa majeruhi na mvua 
kubwa ilikuwa ikinyesha.

No comments:
Post a Comment