
 Machangudoa wakiwa wameziba nyuso zao zilisipigwe picha na mwandishi wetu.
 Mke wa mtu akiwa ameziba uso wake kwa mikono ili kukwepa kamara
 Mke wa mtu akiwa amejifunika uso kwa Khanga ili asipigwe picha.
Katika
 hali isiyokuwa ya kawaida,mke wa kigogo mmoja ambae anacheo kikubwa 
hivi karibuni alibambwa kwenye danguro moja lilipo maeneo ya Sinza 
jijini Dar akijiuza.
Habari
 zaidi toka kwa watu wa karibu wanaomjua mwanamke huyo maarufu kwa jina 
la Mama Amina zinadai kuwa yeye ni mke wa pili wa kigogo mmoja anaefanya
 kazi kwenye Wizara moja nyeti ya Serikali ya Jamhuri ya Tanzania.
Aidha watu hao mwandishi wa habari hizi 
 Jijini Dar kuwa mwanamke huyo alifikwa na balaa hilo katika msako mkali
 unaoendelea wa Polisi Kanda ya Kinondoni wa kuwakamata machangudoa wote
 wanaojiuza.
Habari zaidi ziliendelea kusema kuwa kigogo huyo ana familia nyingine ambayo inaishi maeneo ya Mbezi Beach .
Huyu  Mama Amina amempangishia nyumba maeneo ya Sinza Mori na amekuwa akimpa huduma zote muhimu...
Cha kushangaza ni kwamba kila mumewe akiondoka nyuma huenda kujiuza.
Mwandishi
 wetu jana alifika kituo cha Polisi Oysterbay na kushuhudia kundi la 
machangudoa hao wakipelekwa Mahakamanikwa gari ya Manispaa pamoja na 
gari ya polisi akiwemo mwanamke huyo wa kigogoCha kushangaza ni kwamba kila mumewe akiondoka nyuma huenda kujiuza.
 
 
No comments:
Post a Comment