Habari za uhakika 
 zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa Msanii Juma Kilowoko 
almaarufu kwa jina la Sajuki, amefar iki dunia. 
Msanii Juma Kilowoko (sajuki)amefariki dunia alfajiri ya leo katika hospitali ya Taifa Muhimbili ambako  alikokuwa amelazwa.
Chanzo cha habari kinasema  kuwa msanii huyo hadi umauti unamkuta alikuwa amegundulika kuwa
 na tatizo la Kansa ya ngozi na upungufu wa damu. 
                                                     Bwana ametwaa ,Amina.
Enzi za uhai wake na mkewe Wastara
 
 

No comments:
Post a Comment