Mwanamitindo aliebuka na taji la Unique model of the year 2012/2013 kutoka katika shindano la Unique model 2012
 Catherine masumbigana anatarajiwa kuonekana kwa mara kwanza karika 
runway ya lady in Lady baada ya kunyakua taji hilo mwishoni mwa mwaka 
jana.
 Catherine Masumbigana ndiye atakaekuwa yule mwanamitindo atakaetoka na vazi la LADY IN RED usiku wa tarehe 9 february.
 Mipango
 na mikakati ya mwanamitindo huyu ni kusonga mbele katika tasnia ya 
mitindo na kuhamasisha tasnia ya mitindo kwa wanamitindo wachanga kukua 
siku hadi siku katika sanaa. 
 
 

No comments:
Post a Comment