Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua chanzo cha maji katika mradi wa
umwagiliaji maji katika kijiji cha Msoga,wilayani Bagamoyo, mkoa wa
Pwani jana mchana.Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Pwani Bi.Mwantumu Mahiza na
kushoto ni mwenyekiti wa kijiji cha Msoga Bwana Herman Katoto Semindu.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mkulima Selemani Ramadhani
katika shamba la kijiji lililopo katika mradi wa umwagiliaji katika
kijiji cha Msoga kilichopo wilayani Bagamoyo jana asubuhi wakati
alipotembelea kukagua maendeleo ya mradi.Jumla ya hekta mia nne
zimetengwa kwa ajili ya mradi huo.
No comments:
Post a Comment