Sehemu
ya raia wa Ethiopia 98 wakiwemo na Watanzania wawili wakitaremka
kwenye gari la polisi katika Mahakama ya Hakim Mkazi Morogoro, kujibu
mashitaka ya kuingia nchini isivyo halali.
Sehemu
ya raia wa Ethiopia 98 wakiwemo na Watanzania wawili wakiwa katika
Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro jana, wakisubiri kusomewa mashitaka
likiwemo la kuingia nchini bila kibali walipokamatwa katika Kijiji cha
Melela, Wilaya ya Mvomero wakati wakisafiri kuelekea Mkoa wa Mbeya kwa
ajili ya kuvuka mpaka.Kesi hiyo iliahirishwa kwa kukosa mkalimani.
Picha na mdau Juma Mtanda.
No comments:
Post a Comment