Lebo ya 
OTHENTIC ambayo ndio  inasimamia kazi za wasanii kadhaa wa bongofleva 
kama YOUNG DEE,  imetangaza kumleta bongo kwa ajili ya show DJ CLEO, 
staa wa hit single  ya FACEBOOK kutoka AFRIKA KUSINI.
 
C.E.O
 wa OTHENTIC producer Max  amesema wako kwenye mazungumzo na wamefikia 
pazuri,  ambapo siku hiyo  CLEO atasindikizwa na wakali wengine wa bongo
 kama Young Dee, Cosby, CP  na wengine.
 
Amesema japo wameiandaa wao, pia wasanii wa lebo nyingine hapa bongo watapewa mwaliko wa kuperfom, japo list itakua ndogo.
 
show itafanyika march mwaka huu DAR ES SALAAM kwa ajili ya wanafunzi na wengine watakaopenda.
 
 
No comments:
Post a Comment