 Katibu
 Mkuu Wizara  ya Viwanda Biashara na Masoko B. Joyce Mapunjo katikati 
akiwa katika picha ya  pamoja na uongozi wa Kampuni ya bia ya Serengeti 
mara baada ya kuzindua rasmi  bia ya Serengeti katika muonekano wa 
Dhahabu, uzinduzi uliofanyika jana jioni  kwenye hoteli ya Golden Tulip 
jijini Dar es salaam na kuhudguriwa na wadau  mbalimbali na wageni 
waalikwa.

waalikwa.  Kutoka
 kulia ni Emilian Rwejuna meneja masoko (SBL)  Mark Tyro Mkurugenzi wa 
Usambazaji, Ephraima Mafuru Mkurugenzi wa Masoko, Mgeni  rasmi Katibu 
Mkuu Viwanda, Biashara na Masoko Joyce Mapunjo, Mkurugenzi mtendaji  wa 
(SBL) Richard Wells na kushoto ni Zohra Moore Meneja wa Huduma IPP 
wakipozi  kwa picha huku wakiwa wameshikilia chupa mpya ya Serengeti 
Lager iliyo katika  muonekano wa Dhahabu
Kutoka
 kulia ni Emilian Rwejuna meneja masoko (SBL)  Mark Tyro Mkurugenzi wa 
Usambazaji, Ephraima Mafuru Mkurugenzi wa Masoko, Mgeni  rasmi Katibu 
Mkuu Viwanda, Biashara na Masoko Joyce Mapunjo, Mkurugenzi mtendaji  wa 
(SBL) Richard Wells na kushoto ni Zohra Moore Meneja wa Huduma IPP 
wakipozi  kwa picha huku wakiwa wameshikilia chupa mpya ya Serengeti 
Lager iliyo katika  muonekano wa Dhahabu  Chupa
 mpya ya Serengeti Lager yenye muonekano wa wa  Dhahabu ikiibuka kutoka 
katika maji mara baada ya kuzinduliwa rasmi jana usiku.
Chupa
 mpya ya Serengeti Lager yenye muonekano wa wa  Dhahabu ikiibuka kutoka 
katika maji mara baada ya kuzinduliwa rasmi jana usiku.   Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya bia ya Serengeti  (SBL) Richard Wells
 akizungumza katika uzinduzi huo wakati alipomkaribisha mgeni  rasmi.
 Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya bia ya Serengeti  (SBL) Richard Wells
 akizungumza katika uzinduzi huo wakati alipomkaribisha mgeni  rasmi.  Ephraima
 Mafuru Mkurugenzi wa Masoko kampuni ya bia  ya Serengeti akizungumzia 
mafanikio mbalimbali yaliyopatikana katika taifa  kupitia bia ya 
Serengeti Lager.
Ephraima

Serengeti Lager.  Mark
 Tyror Mkurugenzi wa Usambazaji kulia na  Ephraima Mafuru Mkurugenzi wa 
Masoko kampuni ya bia ya Serengeti wakionyesha  nembo mpya ya bia ya 
Serengeti Lager.
Mark
 Tyror Mkurugenzi wa Usambazaji kulia na  Ephraima Mafuru Mkurugenzi wa 
Masoko kampuni ya bia ya Serengeti wakionyesha  nembo mpya ya bia ya 
Serengeti Lager.  Mrembo wa Serengeti Lager akipozi kwa picha na huku  akionyesha Nembo mpya ya bia ya Serengeti Lager
Mrembo wa Serengeti Lager akipozi kwa picha na huku  akionyesha Nembo mpya ya bia ya Serengeti Lager  Mkurugenzi wa Usambazaji Mark Tyro kushoto akipozi  kwa picha na marafiki zake
Mkurugenzi wa Usambazaji Mark Tyro kushoto akipozi  kwa picha na marafiki zake  Kutoka
 kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya  bia ya Serengeti (SBL) 
Richard Wells, Ephraima Mafuru Mkurugenzi wa Masoko  kampuni ya bia ya 
Serengeti na Mwisho ni Meneja wa Mahusiano kampuni ya bia ya  Serengeti 
Nandi Mwiyombela

Nandi Mwiyombela  Ephraima
 Mafuru Mkurugenzi wa Masoko kampuni ya bia  ya Serengeti akiongea na 
mkurugenzi wa Extra Bongo Kamalade Ali Choki , kulia ni  Meneja Masoko 
wa (SBL) Emilian Rwejuna.
Ephraima
 Mafuru Mkurugenzi wa Masoko kampuni ya bia  ya Serengeti akiongea na 
mkurugenzi wa Extra Bongo Kamalade Ali Choki , kulia ni  Meneja Masoko 
wa (SBL) Emilian Rwejuna.  Hapa
 mzuka ukapanda kidogo lakini yote ilikuwa  burudani na uzinduzi wa 
muonekano wa Dhahabu katika burudani ileile ya Serengeti  Lager.
Hapa
 mzuka ukapanda kidogo lakini yote ilikuwa  burudani na uzinduzi wa 
muonekano wa Dhahabu katika burudani ileile ya Serengeti  Lager.  Dada Ritah Mchaki meneja wa bia ya Tusker katikati  akipozi na wadau kutoka kampuni ya bia ya Serengeti hebu wacheki pozi lao.
Dada Ritah Mchaki meneja wa bia ya Tusker katikati  akipozi na wadau kutoka kampuni ya bia ya Serengeti hebu wacheki pozi lao.   Mdau
 Bahati Singh kutoka kampuni ya bia ya Serengeti  yeye ilikuwa 
mishemishe tu ili kuhakikisha mambo ya uzinduzi yanakwenda sawa.
Mdau
 Bahati Singh kutoka kampuni ya bia ya Serengeti  yeye ilikuwa 
mishemishe tu ili kuhakikisha mambo ya uzinduzi yanakwenda sawa.   Mikakati
 ikipangwa hapa Meneja wa kiinywaji cha  Serengeti Lager Allan Chonjo 
katikati anaonekana akitoa maelezo kwa Mkurugenzi  wa Kampuni ya bia ya 
Serengeti Richard Wells kushoto, huku akimsikiliza pamoja  na Meneja 
Masoko wa kampuni hiyo Emilian Rwejuna kulia.
Mikakati

No comments:
Post a Comment