RAIS KIKWETE KATIKA MSIBA WA MBUNGE WA CHADEMA MAREHEMU REGIA MTEMA NYUMBANI KWA MAREHEMU TABATA
Rais
Jakaya Kikwete akijiunga na waombolezaji katika msiba wa Mbunge wa
Viti Maalumu (CHADEMA) Mh Regia Mtema leo January 15, 2012 nyumbani kwa
marehemu Tabata jijini Dar es salaam ambako Waziri Mkuu Mh Mizengo
Pinda, Spika Anne Makinda na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe
walikuwapo.
Rais Jakaya Kikwete akiwafariji wafiwa katika msiba wa Mbunge wa CHADEMA Mh. Regia Mtema leo.
Rais
Jakaya Kikwete akizungumza na Mwenyekiti wa Chama Cha CHADEMA Mh
Freeman Mbowe wa tatu kutoka kulia pamoja na jamaa wa Marehemu Regia
Mtema.
Rais Jakaya Kikwete akiteta jambo na Waziri Mkuu Mizengo Pinda katikati pamoja na Spika wa Bunge Mh. Anne Makinda.
No comments:
Post a Comment