Jeneza
 lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Marehemu Jeremiah  Sumari 
likiwasili katika uwanja wa Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es  salaam leo
 January 21, 2012 tayari kwa kupewa heshma za mwisho  
 Rais Kikwete akitoa heshima zake za mwisho 
 Rais Kikwete akimpa pole mjane Mama Miriam Sumari
Rais Kikwete akiongoza umati mkubwa wa waombolezaji katika halfa hiyo 
Rais
 Kikwete, Jaji Mkuu Mohamed Chande Othman, Spika Anne Makinda na  
kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni Mh Freeman Mbowe kwenye hafla 
hiyo. 
 
 
 
  
  
  
  
 
No comments:
Post a Comment