Waziri
 wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk. Shukuru Kawambwa akizungumza na 
wanafunzi waislamu waliofanya maandamano ya amani katika viwanja vya 
Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam leo kupinga Uongozi wa Shule ya 
Sekondari Ndanda kuwafukuza wanafunzi 20 wa kiislamu waliokuwa wakisoma 
katika shule hiyo.
Waziri
 wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk. Shukuru Kawambwa akiwasili katika 
viwanja vya Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam leo kuzungumza na 
wanafunzi wa kiislam waliokuwa wameandamana leo kupinga Uongozi wa Shule
 ya Sekondari Ndanda kuwafukuza wanafunzi 20 wa kiislamu waliokuwa 
wakisoma katika shule hiyo.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Suleima Kova akiagana na  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk. Shukuru Kawambwa.
Rais
 wa Wanafunzi wa kiislamui, Jafari Mneto akizungumza katika viwanja vya 
Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam baada ya Wanafunzi wa Kiislamu 
kufanya maandamano.
Wanafunzi wa kiislamui Shule ya Sekondari Ndanda wakiwa katika viwanja vya Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam leo. 
 
 
No comments:
Post a Comment