Rais
 Jakaya Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na 
Maendeleo (CHADEMA),Dkt. Wilbrod Slaa usiku huu Ikulu jijini Dar es 
salaam wakati Uongozi wa chama hicho ulipofika kukutana na Rais kwa 
muendelezo wa mazungumzo ya mchakato wa Katiba mpya. 
Rais Jakaya Kikwete akiukaribisha Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) usiku huu Ikulu jijini Dar es salaam.
Katibu
 Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Dkt. Wilbrod Slaa 
(kushoto) akifafanua jambo kwa Rais Jakaya Kikwete kuhusu mchakato wa 
Katiba Mpya ikulu Jijini Dar es Salaam leo.Katikati ni Mwenyekiti wa 
Chama hicho,Mh. Freeman Mbowe.
 
 



No comments:
Post a Comment