 Gari
 aina ya roli mali ya Grace Enterprises ya Nairobi nchini Kenya yenye 
namba za usajili KBJ 409 W na tela lake lenye namba za usajili ZC 9486 
limekamatwa likisafirisha kwa magendo mzigo wa dagaa unaokadiriwa kuwa 
na uzito wa zaidi ya tani 40 ukitoka katika bohari ya kuhifadhia kijiji 
cha Nyamikoma wilayani Magu mkoani Mwanza njiani kuelekea nchini Kenya 
kwaajili ya biashara.

kwaajili ya biashara. Afisa
 wa polisi akichukuwa maelezo toka kwa mmiliki wa roli hilo Godfrey 
Mwangi mara baada ya dereva kulitelekeza gari hilo na kutoweka kusiko 
julikana.
Afisa

No comments:
Post a Comment