Baadhi ya wanafunzi hao wakizuia magari kupita hapao jana
 
Wanafunzi
  wa Shule za Msingi Ndugumbi na Mwalimu Nyerere, Magomeni,Dar es 
Salaam,  wakiandamana leo katika Barabara ya Kawawa, kuishinikiza Wakala
 wa  Barabara wa Serikali (TANROADS), kuweka matuta barabarani, kufuatia
  wenzao wawili kugongwa na magari kunakosababishwa na mwendo kasi 
katika  eneo hilo.
 
 
No comments:
Post a Comment