Mariam
 Ussi namba yake ni 0654336459, hakika anahitaji msaaada wa hali na mali
 kutokana na kubahatika kupata watoto watatu mapacha kwa wakati 
mmoja.watoto wanatumia maziwa LACTOGEN NO 2. yaani kwa siku anatumia 
kopo zima na linaisha.hatari......sasa huyu ana mapacha watatu na hana 
kazi ni mama wa nyumbani tu.
anahitaji maziwa pamoja na vitu vingine ambavyo ni muhimu kwa malezi ya watoto.
Watanzania wote na taaasisi mbalimbali husika tafadhali tunawaomba msaidieni huyu Mama.
anahitaji maziwa pamoja na vitu vingine ambavyo ni muhimu kwa malezi ya watoto.
Watanzania wote na taaasisi mbalimbali husika tafadhali tunawaomba msaidieni huyu Mama.
 
No comments:
Post a Comment