Burudani za wanadaa wa kichina zikiendelea jukwaani, hapa ni wakati waicheza Wakawaka ya kombe la Dunia lililopita.
   Vijana wakimaliza na kuaga jukwaani.
 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akipokea mfano wa Hundi, yenye thamani ya Sh. Milioni 10, kutoka kwa 
Balozi wa China nchini Tanzania, Liu Xinsheng, (kulia) iliyotolewa na 
Chama cha Wafanyabiashara wa Kichina wa Tanzania (CBCT) kwa ajili ya 
kusaidia waathirika wa mafuriko yaliyotokea jijini Dar es Salaam 
mwishoni mwa mwezi Desemba mwaka jana, ikiwa  ni sehemu ya sherehe za kuukaribisha mwaka mpya wa Kichina zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana.(Sufian mafoto)





No comments:
Post a Comment