Rais
 Jakaya Mrisho  Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Bill and Melinda 
Gates Foundation Bw. Bill Gates wakati wa Kongamano la Uchumi Duniani 
mjini Davos, Switzerland 
 Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na  Waziri wa Mambo ya Nje wa Australia 
Bw. Kevin Rudd wakati wa Kongamano la Uchumi Duniani mjini 
Davos, Switzerland 
 Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na Waziri Mkuu wa Thailand Bi. 
Yingluck Shinawatra wakati wa Kongamano la Uchumi Duniani mjini 
Davos, Switzerland 
 Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais na Mtendaji Mkuu 
wa kampuni ya Walmart Bw Doug Mc Millonwakati wa Kongamano la Uchumi 
Duniani mjini Davos, Switzerland 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na Madame Sadako Ogata, Rais wa Japan International Cooperative Agency mjini Davos.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Waziri Mkuu wa Kenya Mh Raila Odinga baada ya kufanya naye mazungumzo mjini Davos.
Rais Jakay Mrisho Kikwete akiongea na Waziri Mkuu wa Uingereza Bw. David Cameron mjini Davos, Uswisi
 
 







No comments:
Post a Comment