Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akisikiliza maelezo kutoka kwa mmoja wa wakulima wa Mpunga kuhusu 
kilimo hicho cha umwagiliaji wakati alipotembelea na kukagua mashamba ya
 Skim Mamlaka ya mji wa Mombo jana Januari 26, 2012. 
 Makamu wa Rais wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed
 Gharib Bilal, akikagua mitaro ya maji yanayotumika kumwagilia mashamba 
ya mpunga ya Skim, mji wa Mombo, wakati akiwa katika ziara yake ya 
kukagua miradi ya maendeleo ya Wilaya ya Korogwe mkoa wa Tanga jana 
Januari, 26, 2012, akiwa katika ziara ya mkoa wa Tanga.  
 
 
 
  
 
No comments:
Post a Comment