Polisi wa  Jamhuri ya Demokrasia ya Congo wakiwatawanya waandanaji na kufungua barabara  ambazo raia walikuwa wamefunga. 
Polisi  wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo wakiwa katika eneo la tukio kuzuia  waandamanaji. 
Wananchi wa Jamhuri  ya Demokrasia ya Congo wakiwa wamepanga mawe barabarani.
Huko
 Jamhuri ya  Demokrasia ya Congo-DRC jana kulikuwa na maandamano makubwa 
katika mji wa Goma  unaopakana na mji wa Kivu Kaskazini huko mashariki 
mwa Congo. 
Raia
 wa mji huo wa  Goma walisema hali ya kiusama ni duni kwa raia yakiwemo 
mauaji na kupotea kwa  watu wakibebwa na kupelekwa mahali yasiyo 
julikana wakati wa usiku.
 
 
No comments:
Post a Comment