MWIGIZAJI
 Stephanie anazidi kupata maadui baada ya Rita Dominic kuingia kwenye 
listi ya watu wanaompinga baada ya kupewa shavu nene katika tasnia ya 
filamu Nollywood.
Awali
 Stephanie aliyekua rafiki mkubwa wa Gienevieve Nnaji waliingia katika 
bifu baada ya Stephanie kupewa shavu hilo na yeye kupigwa chini.
Kisa
 cha kutokuwa na maelewani kwa wasanii hao ni kitendo cha Stephanie 
kuteuliwa kuwa kiunganishi kati ya wasanii na rais wa nchi hiyo, 
Goodluck Jonathan.
Gienevieve
 alipinga uteuzi huo akisema hawawezi kufanya kazi na rais halafu mtu wa
 katikati awe msanii huyo akidai kuwa bado mchanga.
Rita
 naye ameibuka na kusema kuwa anataka kuonana na rais lakini suala la 
eti kupitia kwa Okerekea analipinga kwa kuwa msanii huyo ni mdogo sana 
kwake.
"Stephanie ni nani hapa Nollywood, eti nikitaka kuwasiliana na rais lazima nimuone yeye, huyo aliyemteua ha
 
 

No comments:
Post a Comment