Mfalme
 wa mipasho, Mzee wa kulambisha akipagawisha Mont Vernon, New York 
kwenye Show kabambe Jumamosi Janauary 21, 2012 iliyokonga nyoyo za 
mashabiki kwa kuimba nyimbo zake kwa ustadi mkubwa huku akiwa mcheshi 
muda wote.
Juu na chini ni Maafisa na Wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa New York.
Kulia
 ni Balozi wa Somalia Umoja wa Mataifa Mh. Dr.Elmi Ahmed Dualeh akiwa na
 mke wake wakipiga picha ya pamoja na Mzee Yusuf (kati), Mh. Dr. Elmi 
Ahmed Dualeh alishawahi ishi Zanzibar miaka ya nyuma wakati Mzee Yusuf 
alipokua mdogo.
Mzee wa alamba, Haaam, Haaam akifanya makamuzi New York.
Mashabiki
 waliokuja kulambishwa wakichenguka na huku wakimtunza Mzee Yusuf 
aliyekonga nyoyo zao kwa show iliyofana iliyofanyikia Mont Vernon, New 
York, Nchini Marekani.
Juu na chini mashabiki wa New York na Vitongoji vya jirani wakiendelea kulambishwa na Mzee Yusuf.
Ilikua balaa hakuna kukaa chini Mzee wa Alamba, Mfalme wa mipasho alivyofunika New York.
Mashabiki wakiimba pamoja na Mzee Yusuf
Ilikua si mchezo uliyekosa karibu DC Feb 4 atalambisha mashabiki wa DMV.
Mashabiki wa New York na Vitongoji vyake wakipagawika na Mzee Yusuf, Mfalme wa mipasho.
Mashabiki wakilambishwa na Mzee Yusuf alipofanya show Mjini New York Jumamosi January 21, 2012
 
 
No comments:
Post a Comment