 
  
Kwanza
  Tunapenda wasalimu wakubwa wetu  Shikamoo na vijana wenzetu Mambo  
vipi..  Tunatambua kuwa Wanavyuo  wenzetu walimu walikuwa hawana kazi  
kwa muda mrefu Jambo ambalo  liliwafanya wengi kuwa na wasi wasi na  
mwajiri wao. Tunapenda kuwapa  tarifa kupitia mtandao wenu wa Matukio na
  wanavyuo (www.tzwanavyuo.blogspot.com)
    kuwa, Walimu wahitimu wote  Jana usiku majira ya sa saba Nafasi hizo
   zilitangazwa Rasmi, Pia sisi Tunapenda kuwasilisha majina ya 
wanafunzi   ambao wamechaguliwa Tunaomba mchukue Muda wenu kutazama kwa 
umakini   majina yenu yote yapo hapa. Hongereni sana.
 
 
No comments:
Post a Comment