 Waziri wa Nishati na Madini  Wiliam Ngeleja (kushoto) akibadilisha hati
 za makubaliano ya utafiti  wa mafuta nchini  na Mkurugenzi Mtendaji  wa
  kampun  i ya Petrobras kutoka  Brazil Bw, Samuel Bastos de Miranda 
(kulia)  , hafla hiyo imefanyika leo  jijini Dar es Slaam wakati wa 
hafla  ya uwekaji saini wa mikataba  mitatu ya utafiti wa mafuta wa 
kampuni  kutoka nje

 Waziri wa Nishati na  Madini William Ngeleja (katikati) akiweka saini  
mkataba wa utafiti  wa mafuta nchini kwa kampuni  tatu kutoka  nje, 
(kushoto)   ni  Mkurugenzi  mtendaji wa TPDC Bw, Yona Killagane   na 
(kulia) Mkurugenzi Mtendaji  wa kampuni ya  Matherland industries  LTD 
kutoka India, Bw. V.K. Sood .(kulia). Mkataba huo umewekwa saini   leo  
kwenye jingo la Wizara ya Nishati na Madini.

No comments:
Post a Comment