Baba
   mzazi wa binti aliyebakwa na Mzee Asangile Kihaka (70), anayefahamika
  kwa jina la Bwana Ekson Nazareth  (47), ambaye pia ni  mzee wa baraza 
 mahakama ya Mwanzo ya Mbeya Mjini.. 
 Mmoja
   wa wananchi wa eneo la Ghana akilaani vikali kitendo cha Mzee 
Asangile   Kihaka (78) kumbaka binti wa miaka 12, mwanafunzi wa darasa 
la 7  katika  Shule ya Msingi Mbata, amba ni tukio la tatu la mzee huyo 
 kutenda.
Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya.
Mzee
  Asangile Kihaka mwenye umri wa miaka 75 mkazi Ghana amefikishwa katika
  mahakamani ya hakimu mkazi mkoa wa Mbeya jana akituhumiwa kumbaka 
mtoto  wa miaka 12 disemba 14 mwaka jana.
Akisoma shtaka linalomkabili mzee huyo mwanasheria wa Serikali Roda Ngole mbele ya hakimu mfawidhi wa mahakama hiyo Zabibu Mpangule amesema mzee Asangile alitenda kosa hilo akiwa nyumbani kwake baada ya kumrubuni mtoto huyo kumpelekea kuni nyumbani kwake na baada ya mtoto kufika ndani mzee huyo alianza kumwingilia kimwili kwa nguvu.
Amesema kitendo hicho ni kinyume cha kifungo cha Sheria 130 sura ya pili E na kifungu namba 131 sehemu ya kwanza sura ya 16 marekebisho ya mwaka 2002.
Hakimu mfawidhi wa mahakama hiyo Zainabu Mpangule ameihairisha kesi hiyo hadi February mosi mwaka huu na kwamba mtuhumiwa amerudishwa rumande baada ya kukosa dhamana ya shilingi laki tano.

No comments:
Post a Comment