JK akielekea jukwaani kuhutubia wananchi baada ya kuweka jiwe la msingi kwa ujenzi wa soko la kijiji cha Mtamba, Morogoro vijij.
JK akiongea baada ya kuzindua daraja la mto Mtombozi tarafa ya Matombo wilaya ya Morogoro mjini leo January 17, 2012.
JK na RC akivuka daraja jipya la Magogoni katika barabara ya Kiganila-Mvuha, Morogoro Vijijini baada ya kulizindua.
JK na ujumbe wake na wenyeji wakipita juu ya daraja jipya la Mtombozi, Matombo, Morogoro vijijini alilozindua.
JK na ujumbe wake na wenyeji wakipita juu ya daraja jipya la  Mtombozi, Matombo, Morogoro vijijini alilozindua. 
Rais
 Jakaya Kikwete leo ametembelea Morogoro vijijini na kuzindua  madaraja 
mawili makubwa katika mto Mtombozi, Matombo, na mto Magogoni  katika 
barabara ya Kiganila-Mvuha, pia ameweka jiwe la msingi la soko la  
kijiji cha Mtamba na kukagua ujenzi wa barabara sehemu ya Kisaki,  
Msalabani.
 
 
 
  
  
 
 
 
No comments:
Post a Comment