Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dkt. Batlda Burian, 
wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu Dar es Salaam leo 
Januari 19, 2012, kwa ajili ya kumuaga rasmi kwenda kuanza kazi nchini 
Kenya baada ya uteuzi wake .
Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akizungumza na  Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dkt. Batlda Burian, 
wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu Dar es Salaam leo 
Januari 19, 2012, kwa ajili ya kumuaga rasmi kwenda kuanza kazi nchini 
Kenya baada ya uteuzi wake. 
 
No comments:
Post a Comment