 Katibu
 Mkuu wa  Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) na Kaimu Mwakilishi
 wa Dunia kwa  Tanzania, Uganda na Burundi Mercy Miyang Tembon(kulia) 
wakisaini hati ya msaada  makubaliano ya 
msaada wa Shilingi bilioni 22.8 kwa  ajili ya kuunga mkono juhudi za 
Mpango wa Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)  uliotolewa na Japan na 
utasimamiwa na Benki ya Dunia(WB) .
Katibu
 Mkuu wa  Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) na Kaimu Mwakilishi
 wa Dunia kwa  Tanzania, Uganda na Burundi Mercy Miyang Tembon(kulia) 
wakisaini hati ya msaada  makubaliano ya 
msaada wa Shilingi bilioni 22.8 kwa  ajili ya kuunga mkono juhudi za 
Mpango wa Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)  uliotolewa na Japan na 
utasimamiwa na Benki ya Dunia(WB) .  Katibu
 Mkuu wa  Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) akiongea na 
waandishi wa habari leo  jijini Dar es salaam mara baada ya kusaini makubaliano
 ya msaada wa  kusaidia sekta ya kilimo na Kaimu Mwakilishi wa Dunia kwa
 Tanzania, Uganda na  Burundi Mercy Miyang Tembon mara baada ya kusaini 
makubaliano ya msaada wa  Shilingi bilioni 22.8 kwa ajili ya kuunga 
mkono juhudi za Mpango wa Maendeleo ya  Sekta ya Kilimo (ASDP) Japan na 
utasimamiwa na Benki ya Dunia(WB).

No comments:
Post a Comment