Mtangazaji
 wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani, ambacho hurushwa hewani  kupitia 
kituo cha Redio Times, Khadija Shaib 'Dida wa G', juzikati alijikuta 
kwenye wakati mgumu baada ya kutumiwa ujumbe wa meseji katika simu yake 
ya mkononi na jamaa mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika, 
akidaiwa kujihusisha na uuzaji dawa za kulevya awapo safarini nchini 
China.
 Ishu
 hiyo imemchanganya sana Dida na kushindwa kuikalia kimya hivyo akaamua 
kuiweka hadharani ili wadau wake pia waweze kuona jinsi jamaa huyo 
alivyo mtuhum.
Soma hapa chini jinsi Dida alivyofunguka kwa mkono wake mwenyewe.
"LABDA
 TU KWA UFUPI NI SIKUCHOSHE WEWE MDAU,USIYEPENDA MAENDELEO YANGU MIMI NI
 DIDA NA NITABAKI KUWA DIDA LABDA MUNGU APANGUWE,NAKUONEA HURUMA SANA 
UTAUMIZA KICHWA JUU YANGU LAKWANGU HULIPATI NA KAMA ICHO UNACHOKISEMA 
UNAONA DILI JARIBU NA WEWE TUONE UTABAKIA MANENO MANENO MTOTO KUTOKA 
TANGA NDIO KWANZA NAPETA, NA KUMBUKA TU FITINA ZAKO KWANGU NI MBOLEA 
ZINANIRUTUBISHA VYEMA NA WALA HUNIKATISHII TAMAA NDIO KWANZA MBELE 
NASONGA KAMA ULIKUWA HUJUI MELI KWANGU NDIO ISHATIA NANGA NA KAMA KUNA 
MWENGINE ANAHOFIA SAFARI ZANGU KATOENI TAARIFA KILWA ROAD KAMA 
MLIVYONIFANYIA MWANZO MKAUMBUKA JUENI TAA YA KIJANI IKIMUWAKIA MWENZIO 
JITAHIDI NA WEWE UZIME NYEKUNDU ITAKUUNGUZA
 
 
No comments:
Post a Comment