 Jakaya
 Kikwete Akimpa pole mjane wa Marehemu Jeremia Sumary, Mbunge wa Arumeru
 na Naibu Waziri wa Fedha wa wa zamani aliyefariki leo asubuhi jijini 
Dar es salaam. Hapa ni nyumbani kwa marehemu, Mbezi Beach, Dar es salaam
 jioni hii.

 jioni hii. Rais Jakaya Kikwete akiweka sahihi kitabu cha maombolezo.
Rais Jakaya Kikwete akiweka sahihi kitabu cha maombolezo. Jakaya
 Kikwete akiongea na ndugu wa marehemu pamoja na Spika Anne Makinda na 
Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa ambaye ni mzazi wa binti aliyeolewa 
na mtoto wa marehemu Sumary.
Jakaya
 Kikwete akiongea na ndugu wa marehemu pamoja na Spika Anne Makinda na 
Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa ambaye ni mzazi wa binti aliyeolewa 
na mtoto wa marehemu Sumary. Rais Jakaya Kikwete akitoa pole kwa wafiwa.
Rais Jakaya Kikwete akitoa pole kwa wafiwa. Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akizungumza na mke wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru na Naibu Waziri wa 
Fedha, marehemu Jeremia Sumari, Mama Miriam Sumari, wakati alipofika 
nyumbani kwa marehemu Tang Bovu jijini Dar es Salaam leo Januari 19, 
2012, kwa ajili ya kutoa pole kufuatia kifo cha mbunge huyo kilichotokea
 usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa. 
Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu

No comments:
Post a Comment